DKT.TIZEBA ASISITIZA USHIRIKISHWAJI WA TMA KWENYE MIRADI YA MAENDELEO YA KILIMO - THE HABARII

THE HABARII

HABARI | MATUKIO | MICHEZO.


ASAS GROUP

Habari Mpya


Tuesday, 7 August 2018

DKT.TIZEBA ASISITIZA USHIRIKISHWAJI WA TMA KWENYE MIRADI YA MAENDELEO YA KILIMO

Waziri wa Kilimo Mhe. Dkt. Charles Tizeba akipata ufafanuzi kutoka kwa Meneja wa TMA Kanda ya Mashariki Bw. Nassoro Mnanike wakati alipotembelea banda la TMA kwenye maonesho ya nane nane 2018, Morogoro.
Waziri wa Kilimo Mhe. Dkt. Charles Tizeba akisisitiza umuhimu wa kutumia miradi ya maendeleo kuongeza ufanisi wa kazi za Mamlaka wakati alipotembelea banda la TMA kwenye maonesho ya nane nane 2018, Morogoro.
Waziri wa Kilimo Mhe. Dkt. Charles Tizeba akipata ufafanuzi kutoka kwa Meneja wa TMA Kanda ya Mashariki Bw. Nassoro Mnanike na mtaalam wa hali ya hewa Dkt. Habiba Mtongori wakati alipotembelea banda la TMA kwenye maonesho ya nane nane 2018, Morogoro.

No comments:

Post a Comment