RAIS MHE. DKT. SAMIA AWAAPISHA VIONGOZI MBALIMBALI KATIKA IKULU YA CHAMWINO MKOANI DODOMA - THE HABARII

THE HABARII

HABARI | MATUKIO | MICHEZO.


ASAS GROUP

Habari Mpya


Monday, 2 November 2026

RAIS MHE. DKT. SAMIA AWAAPISHA VIONGOZI MBALIMBALI KATIKA IKULU YA CHAMWINO MKOANI DODOMA

 


Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akimuapisha Ndugu Felister Emmanuel Shuli kuwa Kamishna wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi kwenye hafla iliyofanyika Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma, tarehe 02 Novemba, 2026.






Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akimuapisha Ndugu Danford George Mpelumbe kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kwenye hafla iliyofanyika Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma, tarehe 02 Novemba, 2026.

Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akimuapisha Ndugu Angelina Lubala Mabula kuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora kwenye hafla iliyofanyika Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma, tarehe 02 Novemba, 2026.


No comments:

Post a Comment