WAZALISHAJI WA CHANJO ZA MIFUGO AFRIKA WAANDAA MWONGOZO WA KUDHIBITI CHANJO - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Tuesday, 17 June 2025

WAZALISHAJI WA CHANJO ZA MIFUGO AFRIKA WAANDAA MWONGOZO WA KUDHIBITI CHANJO

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Prof. Riziki Shemdoe (katikati) akiwa kwenye picha ya Pamoja na Wasajili wanaousika na chanjo za mifugo pamoja na wakurugenzi wanaozalisha vya chanjo za mifugo barani Afrika kwenye mkutano wa kujadili namna ya kuwa na mfumo wa pamoja wa kutokomeza ugonjwa wa sotoka ya mbuzi na kondoo tarehe 17 Juni 2025 katika Ukumbi wa King Jada Hotel uliopo jijini Dar es Salaam ambapo Mkutano huo umeanza tarehe 16 hadi 20 Juni 2025.
 

No comments:

Post a Comment