Shamrashamra za
wananchi waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Stendi ya zamani Bariadi mkoani
Simiyu tarehe 18 Juni, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa Stendi ya zamani Bariadi mkoani
Simiyu tarehe 18 Juni, 2025 katika mkutano na wananchi.Taswira ya mkutano huo.
SRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali.
Burudani zikiendelea kwenye mkutano huo.
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Kenan Kihongosi akizungumza kwenye mkutano huo.











No comments:
Post a Comment