MAADHIMISHO YA MIAKA 30 YA UTETEZI WA UHAI (PROLIFE) TANZANIA YAFUNGULIWA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Tuesday, 9 July 2024

MAADHIMISHO YA MIAKA 30 YA UTETEZI WA UHAI (PROLIFE) TANZANIA YAFUNGULIWA



Baadhi ya Washiriki wa Kongamano la Maadhimisho ya Miaka 30 ya Utetezi wa Uhai (PROLIFE) Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya Ibada Takatifu ya Ufunguzi wa maadhimisho hayo yalioanza jana jijini Dar es Salaam.


Rais wa Shirika la Kimataifa la Kutetea Uhai la Human Life International (HLI), Padri Shenan Boquet (kushoto) akiwasilisha mada kwa washiriki wa maadhimisho ya Miaka 30 ya Utetezi wa Uhai (PROLIFE) Tanzania yanayoendelea jijini Dar es Salaam.

Rais wa Shirika la Kimataifa la Kutetea Uhai la Human Life International (HLI), Padri Shenan Boquet akiwasilisha mada kwa washiriki wa maadhimisho ya Miaka 30 ya Utetezi wa Uhai (PROLIFE) Tanzania yanayoendelea jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mwenyekiti wa Shirika la Kutetea Uhai (PROLIFE) Tanzania, Emil Hagamu akifuatilia.

Mwenyekiti wa Shirika la Kutetea Uhai (PROLIFE) Tanzania, Emil Hagamu akiwasilisha mada kwa Washiriki wa Kongamano la Maadhimisho ya Miaka 30 ya Utetezi wa Uhai (PROLIFE) Tanzania.

Mwenyekiti wa Shirika la Kutetea Uhai (PROLIFE) Tanzania, Emil Hagamu akionesha kitabu kinachosaidia kutoa elimu juu ya harakati ya shughuli ya Utetezi wa Uhai (PROLIFE) Tanzania.

Sehemu ya Washiriki wa Kongamano la Maadhimisho ya Miaka 30 ya Utetezi wa Uhai (PROLIFE) Tanzania wakifuatilia mada mbalimbali kwenye kongamano hilo.

Mwenyekiti wa Shirika la Kutetea Uhai (PROLIFE) Tanzania, Emil Hagamu akisisitiza jambo alipokuwa akiwasilisha mada kwenye Kongamano hilo.

Sehemu ya Washiriki wa Kongamano la Maadhimisho ya Miaka 30 ya Utetezi wa Uhai (PROLIFE) Tanzania wakifuatilia mada mbalimbali kwenye kongamano hilo.

Mwenyekiti wa Chama cha Wanahabari Watetezi wa Uhai, Familia, Ndoa na Maisha (JOLIFA)-Tanzania, Bw. Gaundence Hyera pamoja na Makamu wake, Bw. Joseph Sabinus wakiwa katika kongamano hilo.

Baadhi ya washiriki wa Kongamano la Maadhimisho ya Miaka 30 ya Utetezi wa Uhai (PROLIFE) Tanzania kutoka nchi mbalimbali wakifuatilia mada kwenye kongamano hilo.

Baadhi ya Washiriki wa Kongamano la Maadhimisho ya Miaka 30 ya Utetezi wa Uhai (PROLIFE) Tanzania wakiwa kwenye kongamano hilo.

Mapadre wanaoshiriki Kongamano la Maadhimisho ya Miaka 30 ya Utetezi wa Uhai (PROLIFE) Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya Ibada Takatifu.

Mapadre na wanaseminari wanaoshiriki Kongamano la Maadhimisho ya Miaka 30 ya Utetezi wa Uhai (PROLIFE) Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya Ibada Takatifu.

Baadhi ya Washiriki wa Kongamano la Maadhimisho ya Miaka 30 ya Utetezi wa Uhai (PROLIFE) Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya Ibada Takatifu ya Ufunguzi wa maadhimisho hayo yalioanza jana jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment