Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele akizungumza wakati akifungua mafunzo ya siku mbili kwa Waratibu wa Uandikishaji wa mkoa, Maafisa Waandikishaji, Maafisa Waandikishaji Wasaidizi ngazi ya Jimbo, Maafisa Uchaguzi, Maafisa Ugavi na Maafisa TEHAMA wa halmashauri yaliyoanza leo Julai 9 na 10,2024 Mkoani Tabora.

Kamishina wa Viapo kutoka Mahakama Kuu Kanda ya Tabora, Kundiata Robert akitoa utangulizi kabla ya kuwaapisha watendaji hao wa uboreshaji.
Waratibu wa Uandikishaji wa mkoa, Maafisa Waandikishaji, Maafisa Waandikishaji Wasaidizi ngazi ya Jimbo, Maafisa Uchaguzi, Maafisa Ugavi na Maafisa TEHAMA wa halmashauri wakila kiapo cga kujitoa uanachama na kile cha kutunza siri mbele ya Kamishina wa Viapo kutoka Mahakama Kuu Kanda ya Tabora, Kundiata Robert (hayupo pichani) kabla ya kuanza kwa mafunzo ya siku mbili kwa watendaji wa uandikishaji ngazi ya Halamashauri mkoani Tabora yaliyoanza Julai 9 hadi 10, 2024 katika Ukumbi wa Mkoa wa Tabora. (Picha na INEC).

Afiza Uhamiaji Wilaya ya Tabora MC, Mkaguzi wa Uhamiaji Muhondo Mashili akitoa mada kuhusu uraia wakati wa mafunzo hayo.
Waratibu wa Uandikishaji wa mkoa, Maafisa Waandikishaji, Maafisa Waandikishaji Wasaidizi ngazi ya Jimbo, Maafisa Uchaguzi, Maafisa Ugavi na Maafisa TEHAMA wa halmashauri za mkoa wa Tabora wakiwa katika mafunzo hayo.

Na Mwandishi wetu, Tabora na Katavi
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imewataka watendaji wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Mkoani Tabora na Katavi kuwa na ushirikiano kati yao, Serikali, Vyama vya Siasa na wadau wengine wa uchaguzi.
No comments:
Post a Comment