RAIS SAMIA AMPOKEA RAIS WA GUINEA-BISSAU MHE. UMARO EMBALÓ, IKULU DAR - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Saturday 22 June 2024

RAIS SAMIA AMPOKEA RAIS WA GUINEA-BISSAU MHE. UMARO EMBALÓ, IKULU DAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza ujumbe wa Tanzania kwenye mazungumzo Rasmi na Mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Guinea-Bissau Mhe. Umaro Sissoco Embaló aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Juni, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Guinea-Bissau Mhe. Umaro Sissoco Embaló akiongoza ujumbe wa Nchi yake kwenye mazungumzo Rasmi na ujumbe wa Tanzania ulioongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Juni, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza ujumbe wa Tanzania kwenye mazungumzo Rasmi na Mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Guinea-Bissau Mhe. Umaro Sissoco Embaló aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Juni, 2024. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza ujumbe wa Tanzania kwenye mazungumzo Rasmi na Mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Guinea-Bissau Mhe. Umaro Sissoco Embaló aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Juni, 2024. 

No comments:

Post a Comment