MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR AFUNGUA RASMI MKUTANO WA BODI YA WAKURUGENZI YA GPE MJINI UNGUJA LEO - THE HABARII

THE HABARII

HABARI | MATUKIO | MICHEZO.


ASAS GROUP

Habari Mpya


Wednesday, 6 December 2023

MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR AFUNGUA RASMI MKUTANO WA BODI YA WAKURUGENZI YA GPE MJINI UNGUJA LEO

 

Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdullah akiongea na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Ushirika wa Elimu Duniani (GPE) Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Makamu Wake Bi Suzan Liautaud na Afisa Mtendaji Mkuu Laura Fringeti kabla hajafungua rasmi mkutano wa Bodi hio katika hoteli ya Zanzibar Hyatt, Unguja, leo.

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Ushirika wa Elimu Duniani (GPE) Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi kitabu Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdullah kabla hajafungua rasmi mkutano wa Bodi hio katika hoteli ya Zanzibar Hyatt, Unguja, leo.

Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdullah akiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Ushirika wa Elimu Duniani (GPE) Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Makamu Wake Bi Suzan Liautaud na Afisa Mtendaji Mkuu Laura Fringeti  akifungua rasmi mkutano wa Bodi hio katika hoteli ya Zanzibar Hyatt, Unguja.

No comments:

Post a Comment