RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AWASILI NEW DELHI NCHINI INDIA KWA AJILI YA ZIARA YA KITAIFA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Sunday 8 October 2023

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AWASILI NEW DELHI NCHINI INDIA KWA AJILI YA ZIARA YA KITAIFA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akilakiwa na Watanzania mara baada ya kuwasili New Delhi nchini India kwa ajili ya kuanza rasmi ziara ya Kitaifa tarehe 08 Oktoba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia kikundi cha ngoma cha asili ya India  kikitumbuiza mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Indira Gandhi, New Delhi  nchini India kwa ajili ya kuanza rasmi ziara ya Kitaifa tarehe 08 Oktoba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia kikundi cha ngoma cha asili ya India  kikitumbuiza mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Indira Gandhi, New Delhi  nchini India kwa ajili ya kuanza rasmi ziara ya Kitaifa tarehe 08 Oktoba, 2023

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Indira Gandhi, New Delhi  nchini India kwa ajili ya kuanza rasmi ziara ya Kitaifa tarehe 08 Oktoba, 2023.

No comments:

Post a Comment