BENKI YA NMB YAKATA KEKI NA WATEJA MAADHIMISHO YA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA...! - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Tuesday, 3 October 2023

BENKI YA NMB YAKATA KEKI NA WATEJA MAADHIMISHO YA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA...!

Meneja mwandamizi wa Huduma za Kibenki kwa njia ya Kidijitali wa Benki ya NMB, Bw. Tito Mangesho (aliye kaa mwenye suti ya bluu) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wateja na wafanyakazi wa Benki ya NMB Tawi la Mbezi Louis jijini Dar es Salaam mara baada ya hafla fupi ya Maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja katika tawi hilo.

Meneja mwandamizi wa Huduma za Kibenki kwa njia ya Kidijitali wa Benki ya NMB, Bw. Tito Mangesho akiwasikiliza na kutoa huduma kwa baadhi ya wateja wa Benki ya NMB Tawi la Mbezi Louis jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja na Benki ya NMB.

Meneja mwandamizi wa Huduma za Kibenki kwa njia ya Kidijitali wa Benki ya NMB, Bw. Tito Mangesho akimlisha keki mmoja wa wateja wa Benki ya NMB Tawi la Mbezi Louis jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja na Benki ya NMB. Kulia ni Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Mbezi Louis, Ian Meena.

Meneja mwandamizi wa Huduma za Kibenki kwa njia ya Kidijitali wa Benki ya NMB, Bw. Tito Mangesho akikata keki maalum pamoja na mteja wa Benki ya NMB Tawi la Mbezi Louis jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja na Benki ya NMB.

Meneja mwandamizi wa Huduma za Kibenki kwa njia ya Kidijitali wa Benki ya NMB, Bw. Tito Mangesho akizungumza na baadhi ya wateja wa Benki ya NMB Tawi la Mbezi Louis jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja na Benki ya NMB.

No comments:

Post a Comment