RAIS SAMIA ASHIRIKI MKUTANO MKUBWA WA JUKWAA LA MIFUMO YA CHAKULA AFRIKA (AGRF) JIJINI DAR - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Thursday, 7 September 2023

RAIS SAMIA ASHIRIKI MKUTANO MKUBWA WA JUKWAA LA MIFUMO YA CHAKULA AFRIKA (AGRF) JIJINI DAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi mbalimbali kutoka ndani na nje ya nchi wakati wa Mkutano wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Afrika (AGRF) uliofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC)tarehe 07 Septemba, 2023.

Rais wa Zanzibar Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akiwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Dkt. Jakaya Kikwete, Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe. Goodluck Jonathan, Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango pamoja na viongozi wengine wakati wa Wimbo wa Taifa wa Tanzania, Afrika Mashariki na ule wa Umoja wa Afrika ukiimbwa wakati wa Mkutano mkubwa wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Afrika (AGRF) uliofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC) tarehe 07 Septemba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amekaa na Rais wa Kenya Mhe. William Ruto, Rais wa Burundi Mhe. Évariste Ndayishimiye, Rais wa Senegal Mhe. Macky Sall, Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe. Hailemariam Desalegn pamoja na viongozi mbalimbali kwenye Mkutano mkubwa wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Afrika (AGRF) uliofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC) tarehe 07 Septemba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama na Rais wa Kenya Mhe. William Ruto, Rais wa Burundi Mhe. Évariste Ndayishimiye, Rais wa Senegal Mhe. Macky Sall, Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe. Hailemariam Desalegn, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango pamoja na Rais wa Zanzibar Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi katika picha ya pamoja kabla ya kuanza kwa Mkutano Mkubwa wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Afrika (AGRF) uliofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC) tarehe 07 Septemba, 2023.

Viongozi mbalimbali pamoja na wadau wa Kilimo wakiwa kwenye Mkutano wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Afrika (AGRF) unaofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC)tarehe 07 Septemba, 2023.

Marais kutoka nchi mbalimbali wakiwa kwenye Mkutano mkubwa wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Afrika (AGRF) uliofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC) tarehe 07 Septemba, 2023.

Baadhi ya Viongozi Wakuu wa Nchi mbalimbali Afrika, Wakuu wa Taasisi, Viongozi Wastaafu, Wadau wa Kilimo pamoja na Wageni mbalimbali wakiwa kwenye Mkutano wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Afrika (AGRF) unaofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC)tarehe 07 Septemba, 2023.

No comments:

Post a Comment