RAIS SAMIA HASSAN AHUTUBIA BARAZA LA EID EL-FITR DAR ES SALAAM - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Tuesday 3 May 2022

RAIS SAMIA HASSAN AHUTUBIA BARAZA LA EID EL-FITR DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia Baraza la Eid El-Fitr  lililoandaliwa na Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) katika ukumbi wa Mikutano wa  Julius Nyerere Conventional Centre Jijini Dar es Salaam  tarehe 03 Mei, 2022.

Waumini wa Dini ya Kiislamu na wale wa Imani nyingine wakiwa katika Ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere Conventional Centre Jijini Dar es Salaam kuhudhuria Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) tarehe 03 Mei, 2022.

No comments:

Post a Comment