RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA MWENYEKITI WA CUF, PROF. LIPUMBA, IKULU- DAR - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Monday 16 May 2022

RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA MWENYEKITI WA CUF, PROF. LIPUMBA, IKULU- DAR

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF Profesa Ibrahim Lipumba Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Mei, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF Profesa Ibrahim Lipumba mara baada ya kufika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Mei, 2022.

No comments:

Post a Comment