RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA RAIS WA GHANA NANA AKUFO-ADDO, IKULU ACCRA NCHINI GHANA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Wednesday 25 May 2022

RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA RAIS WA GHANA NANA AKUFO-ADDO, IKULU ACCRA NCHINI GHANA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Ghana Mhe. Nana Akufo-Addo katika Ikulu ya Accra (Jubilee House) nchini Ghana tarehe 24 Mei, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Jamhuri ya Ghana Mhe. Nana Akufo-Addo kabla ya mazungumzo yao yaliyofanyika katika Ikulu ya Accra (Jubilee House) nchini Ghana tarehe 24 Mei, 2022.

No comments:

Post a Comment