RAIS SAMIA HASSAN AZUNGUMZA NA MKURUGENZI MKUU WA BENKI YA EQUITY DKT. JAMES MWANGI IKULU JIJINI DAR - THE HABARII

THE HABARII

HABARI | MATUKIO | MICHEZO.


ASAS GROUP

Habari Mpya


Wednesday, 13 April 2022

RAIS SAMIA HASSAN AZUNGUMZA NA MKURUGENZI MKUU WA BENKI YA EQUITY DKT. JAMES MWANGI IKULU JIJINI DAR

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Equity Dkt. James Mwangi mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 12 Aprili, 2022.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Equity Dkt. James Mwangi mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 12 Aprili, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akiwa katika mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Equity Dkt. James Mwangi aliyeambatana na Ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 12 Aprili, 2022.

No comments:

Post a Comment