RAIS SAMIA AKISAINI KITABU CHA MTOTO ADA MKAZI WA COLUMBIA WASHINGTON - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Tuesday 26 April 2022

RAIS SAMIA AKISAINI KITABU CHA MTOTO ADA MKAZI WA COLUMBIA WASHINGTON

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akizungumza na kusaini kitabu cha Mtoto wa Kitanzania Ada Marie Kemilembe (9) mkazi wa Columbia, Maryland, alipokutana naye Jijini Washington DC Nchini Marekani.

No comments:

Post a Comment