RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AHUTUBIA KATIKA MDAHALO WA KITAIFA WA KUMBUKIZI YA MIAKA 100 YA KUZALIWA KWA HAYATI MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE-KIBAHA MKOANI PWANI - THE HABARII

THE HABARII

HABARI | MATUKIO | MICHEZO.

ASAS GROUP

Habari Mpya

Saturday, 9 April 2022

RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AHUTUBIA KATIKA MDAHALO WA KITAIFA WA KUMBUKIZI YA MIAKA 100 YA KUZALIWA KWA HAYATI MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE-KIBAHA MKOANI PWANI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimkabidhi tuzo Makongoro Nyerere mtoto wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliyepokea kwa niaba ya Familia yake katika Kumbukizi ya miaka 100 iliyofanyika Viwanja vya Shule ya Uongozi ya Mwalimu Nyerere Kibaha Mkoani Pwani leo tarehe 09 Aprili, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikata utepe kuzindua Vitabu 3 vya Hayati Mwalimu Nyerere (Mwalimu Julius Kambarage Nyerere: Chemichemi ya fikra za Kimapinduzi, Misingi ya Falsafa, Itikadi na Sera za Chama cha Mapinduzi na Development as Rebellion-The Making of a Philosopher Ruler; Becoming Nationalist ; Rebelion  without Rebels; katika Mdahalo wa Kumbukizi ya miaka 100 iliyofanyika Viwanja vya Shule ya Uongozi ya Mwalimu Nyerere Kibaha Mkoani Pwani leo tarehe 09 Aprili, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akionesha baadhi ya Vitabu vya Hayati Mwalimu Nyerere (Mwalimu Julius Kambarage Nyerere: Chemichemi ya fikra za Kimapinduzi, Misingi ya Falsafa, Itikadi na Sera za Chama cha Mapinduzi na Development as Rebellion-The Making of a Philosopher Ruler; Becoming Nationalist ; Rebelion  without Rebels; mara baada ya kuvizinduwa katika Mdahalo wa Kumbukizi ya miaka 100 iliyofanyika Viwanja vya Shule ya Uongozi ya Mwalimu Nyerere Kibaha Mkoani Pwani leo tarehe 09 Aprili, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikata utepe kuzindua Vitabu 3 vya Hayati Mwalimu Nyerere (Mwalimu Julius Kambarage Nyerere: Chemichemi ya fikra za Kimapinduzi, Misingi ya Falsafa, Itikadi na Sera za Chama cha Mapinduzi na Development as Rebellion-The Making of a Philosopher Ruler; Becoming Nationalist ; Rebelion  without Rebels; katika Mdahalo wa Kumbukizi ya miaka 100 iliyofanyika Viwanja vya Shule ya Uongozi ya Mwalimu Nyerere Kibaha Mkoani Pwani leo tarehe 09 Aprili, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali, wanafunzi wa Vyuo Vikuu na wananchi wa Pwani katika Mdahalo wa Kitaifa wa Kumbukizi ya miaka 100 ya kuzaliwa kwa aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Tanzania Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, uliofanyika katika viwanja vya Shule ya Uongozi ya Mwalimu Nyerere Kibaha Mkoani Pwani leo tarehe 09 Aprili, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikata utepe kuzindua Vitabu 3 vya Hayati Mwalimu Nyerere (Mwalimu Julius Kambarage Nyerere: Chemichemi ya fikra za Kimapinduzi, Misingi ya Falsafa, Itikadi na Sera za Chama cha Mapinduzi na Development as Rebellion-The Making of a Philosopher Ruler; Becoming Nationalist ; Rebelion  without Rebels; katika Mdahalo wa Kumbukizi ya miaka 100 iliyofanyika Viwanja vya Shule ya Uongozi ya Mwalimu Nyerere Kibaha Mkoani Pwani leo tarehe 09 Aprili, 2022.

Viongozi mbalimbali na wageni waalikwa wakiwa katika hafla ya Mdahalo wa Kitaifa wa Kumbukizi ya miaka 100 ya kuzaliwa kwa aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Tanzania Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, uliofanyika katika viwanja vya Shule ya Uongozi ya Mwalimu Nyerere Kibaha Mkoani Pwani leo tarehe 09 Aprili, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Kanali Abdulrahman Kinana , wakiwasili katika viwanja vya Shule ya Uongozi ya Mwalimu Nyerere Kibaha Mkoani Pwani kwa ajili ya kuzungumza na Viongozi mbalimbali, Wanafunzi wa Vyuo Vikuu na Wananchi wa Mkoa wa Pwani, kwenye Mdahalo wa Kitaifa wa Kumbukizi ya miaka 100 ya kuzaliwa kwa aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Tanzania Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere leo tarehe 09 Aprili 2022.

No comments:

Post a Comment