MAMA MARIA NYERERE NA MAMA JANETH MAGUFULI WASHIRIKI MISA MAALUMU YA KUADHIMISHA MIAKA 100 YA BABA WA TAIFA MWALIMU NYERERE KANISA LA ST. PETERS JIJINI DAR - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Sunday 24 April 2022

MAMA MARIA NYERERE NA MAMA JANETH MAGUFULI WASHIRIKI MISA MAALUMU YA KUADHIMISHA MIAKA 100 YA BABA WA TAIFA MWALIMU NYERERE KANISA LA ST. PETERS JIJINI DAR

Mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere akiwa na Mama Janeth Magufuli Mjane wa Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli  na Waziri wa Nchi ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe Jenista Mhagama wakishiriki katika Misa Maalumu ya kuadhimisha Miaka 100 ya Kuzaliwa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam Jumamosi Aprili 23, 2022.

Mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere akiwa na Mama Janeth Magufuli Mjane wa Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli  na Waziri wa Nchi ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe Jenista Mhagama wakitoka nje na kusalimiana na watu baada ya kushiriki katika Misa Maalumu ya kuadhimisha Miaka 100 ya Kuzaliwa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam Jumamosi Aprili 23, 2022. Picha na Muhidin Issa Michuzi.

No comments:

Post a Comment