KINANA ASEMA ZIARA YA RAIS SAMIA MAREKANI NI MUHIMU KWA UCHUMI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Tuesday 26 April 2022

KINANA ASEMA ZIARA YA RAIS SAMIA MAREKANI NI MUHIMU KWA UCHUMI

Makamu Mwenyekiti CCM Kinana akimsalimia Diwani wa Viti Maalum Manispaa ya Moshi Bi Jenifer Sudi  kwenye mkutano wa ndani wa  katika Ziara yake ya kujitambulisha Pamoja na  kukagua Uhai wa Chama Mkoani humo.

Makamu Mwenyekiti CCM bara Comrade Abdulrahman Kinana akizungumza na viongozi na wanachama wa Chama hicho mkoani Kilimanjaro katika ukumbi ofisi za chama mjini Moshi katika Ziara yake ya kujitambulisha Pamoja na  kukagua Uhai wa Chama Mkoani humo.

No comments:

Post a Comment