WANUFAIKA MIKOPO ELIMU YA JUU WAJITOKEZA KULIPA MADENI YA0 MKOANI TANGA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Sunday, 13 March 2022

WANUFAIKA MIKOPO ELIMU YA JUU WAJITOKEZA KULIPA MADENI YA0 MKOANI TANGA

 

Afisa Mikopo Mwandamizi wa HESLB, Sunday Charles akimkabidhi barua ya kumaliza deni la mkopo wa elimu ya juu, TZS 9,736,900.90 Milioni, mtumishi wa Halmashauri ya Jiji la Tanga Mary Siphaelly leo Jumapili (Machi 13, 2022) mara ya baada kulipa kiasi cha TZS 1,888,000/- Milioni  na kumaliza deni la mkopo huo wakati wa kampeni ya SIFURISHA inayoendelea katika Ofisi za Halmashauri ya Jiji la Tanga.

(PICHA NA HESLB)

Maafisa Mikopo wa HESLB wakitoa huduma mbalimbali kwa wateja leo Jumapili Machi 13, 2022 Mkoani Tanga wakati wa Kampeni ya SIFURISHA inayolenga kuhamasisha urejeshaji wa mikopo ya elimu ya juu inayoendelea katika Ofisi za Halmashauri ya Jiji la Tanga.

Afisa Mikopo Mwandamizi wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), Sophia Saidan akitoa huduma kwa wateja mbalimbali waliotembelea Banda la HESLB leo  Jumapili (Machi 13, 2022) Mkoani Tanga wakati wa kampeni ya SIFURISHA inayoendelea katika Ofisi za Halmashauri ya Jiji la Tanga. Kampeni hiyo inalenga kuhumasisha urejeshaji wa mikopo ya elimu ya juu kutoka kwa wanufaika.

No comments:

Post a Comment