RAIS SAMIA HASSAN AZUNGUMZA KWA NJIA YA MTANDAO NA MKUU WA USAID, BI. SAMANTHA POWER - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Thursday, 3 March 2022

RAIS SAMIA HASSAN AZUNGUMZA KWA NJIA YA MTANDAO NA MKUU WA USAID, BI. SAMANTHA POWER

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza kwa njia ya Mtandao na Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Marekani USAID Bi. Samantha Power leo tarehe 03 Machi, 2022 Ikulu Jijini Dar es Salaam. Bi. Samantha amesema Shirika hilo litaipatia Tanzania msaada wa Kiasi cha Dola za Kimarekani Milioni 25.  PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment