RAIS SAMIA HASSAN ATEMBELEA SHULE YA SEKONDARI BENJAMIN MKAPA AZUNGUMZA NA WANAFUNZI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Monday, 7 March 2022

RAIS SAMIA HASSAN ATEMBELEA SHULE YA SEKONDARI BENJAMIN MKAPA AZUNGUMZA NA WANAFUNZI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali pamoja Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Benjamin Mkapa, Wanafunzi wa Shule ya uhuru Mchanganyiko na Uhuru Msingi zilizopo eneo la Gerezani Ilala Jijini Dar es Salaam leo tarehe 07 Machi, 2022.

Sehemu ya Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Benjamin Mkapa, baadhi ya Wanafunzi wa Shule ya Msingi Uhuru mchanganyiko wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati alipokuwa akiwahutubia leo tarehe 07 Machi, 2022.

Wanafunzi wakitoa burudani wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alipozungumza nao.

Sehemu ya Viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Dar es Salaam, Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Benjamin Mkapa, baadhi ya Wanafunzi wa Shule ya Msingi Uhuru mchanganyiko wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati alipokuwa akiwahutubia leo tarehe 07 Machi, 2022.

Sehemu ya Viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Dar es Salaam, Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Benjamin Mkapa, baadhi ya Wanafunzi wa Shule ya Msingi Uhuru mchanganyiko wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati alipokuwa akiwahutubia leo tarehe 07 Machi, 2022.

Sehemu ya Viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Dar es Salaam, Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Benjamin Mkapa, baadhi ya Wanafunzi wa Shule ya Msingi Uhuru mchanganyiko wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati alipokuwa akiwahutubia leo tarehe 07 Machi, 2022.

Sehemu ya Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Benjamin Mkapa, baadhi ya Wanafunzi wa Shule ya Msingi Uhuru mchanganyiko wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati alipokuwa akiwahutubia leo tarehe 07 Machi, 2022.

Sehemu ya Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Benjamin Mkapa, baadhi ya Wanafunzi wa Shule ya Msingi Uhuru mchanganyiko wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati alipokuwa akiwahutubia leo tarehe 07 Machi, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Benjamin Mkapa, Emanuel Mzena mara baada ya kuwasili Shuleni hapo leo tarehe 07 Machi, 2022 kwa ajili ya kuzungumza na Wanafunzi wa Shule hiyo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akigawa vifaa mbalimbali vya michezo kwa Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Benjamin Mkapa, Shule ya Msingi Uhuru pamoja na Shule ya Uhuru Mchanganyiko leo tarehe 07 Machi, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Benjamin Mkapa Emanuel Mzena mara baada ya kuwasili Shuleni hapo leo tarehe 07 Machi, 2022 kwa ajili ya kuzungumza na Wanafunzi.

No comments:

Post a Comment