RAIS SAMIA AWEKA MAWE YA MSINGI MIRADI YA JESHI LA MAGEREZA MAKAO MAKUU, DODOMA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Friday, 25 March 2022

RAIS SAMIA AWEKA MAWE YA MSINGI MIRADI YA JESHI LA MAGEREZA MAKAO MAKUU, DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Hamad Masauni pamoja na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza CGP Meja Jenerali Suleiman Mzee  pamoja na viongozi wengine akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mitambo na magari ya Ujenzi katika hafla iliyofanyika katika Makao Makuu ya Jeshi la Magereza Msalato Mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Hamad Masauni pamoja na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza CGP Meja Jenerali Suleiman Mzee wakati akikata utepe kuashiria uzinduzi Kiwanda cha Samani cha Magereza kilichopo Msalato mkoani Dodoma leo 25 Machi, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Hamad Masauni pamoja na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Meja Jenerali Suleiman Mzee wakati akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Nyumba za Makazi ya Watumishi wa Jeshi la Magereza Dodoma katika eneo la Veyula leo tarehe 25 Machi, 2022.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na Maafisa mbalimbali wa Jeshi la Magereza pamoja na Wananchi mara baada ya kuweka Mawe ya Msingi na kuzindua miradi mbalimbali ya Jeshi la Magereza Makao Makuu Mkoani Dodoma leo tarehe 25 Machi, 2022.

Wageni na viongozi mbalimbali katika uzinduzi Kiwanda cha Samani cha Magereza kilichopo Msalato mkoani Dodoma leo 25 Machi, 2022.

Wageni na viongozi mbalimbali katika uzinduzi Kiwanda cha Samani cha Magereza kilichopo Msalato mkoani Dodoma leo 25 Machi, 2022.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akipata maelezo kuhusu utendaji kazi wa mashine mbalimbali  za Kiwanda  cha utengenezaji wa Samani mara baada ya kukizindua kiwanda hicho kilichopo Msalato mkoani Dodoma leo 25 Machi, 2022.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Hamad Masauni pamoja na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza CGP Meja Jenerali Suleiman Mzee akivuta kitambaa kuashiria uzinduzi wa Nyumba za Makazi ya watumishi wa Jeshi la Magereza zilizopo Veyula Msalato Mkoani Dodoma.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Hamad Masauni pamoja na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza CGP Meja Jenerali Suleiman Mzee wakati wakivuta kitambaa kuashiria uzinduzi wa Kiwanda cha Samani cha Magereza kilichopo Msalato mkoani Dodoma leo 25 Machi, 2022.

No comments:

Post a Comment