RAIS SAMIA APOKEA TAARIFA YA TAASISI YA KUZUIA NA KUPAMBANA NA RUSHWA TAKUKURU PAMOJA NA TAARIFA YA UKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI MWAKA 2020/2021, DODOMA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Wednesday, 30 March 2022

RAIS SAMIA APOKEA TAARIFA YA TAASISI YA KUZUIA NA KUPAMBANA NA RUSHWA TAKUKURU PAMOJA NA TAARIFA YA UKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI MWAKA 2020/2021, DODOMA

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Taarifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali kwa mwaka 2020/2021 kutoka kwa Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Jijini Dodoma tarehe 30 Machi, 2022.


Viongozi mbalimbali waliohudhuria hafla ya uwasilishwaji wa Taarifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali kwa mwaka 2020/2021 pamoja na Taarifa ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Jijini Dodoma tarehe 30 Machi, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali mara baada ya kupokea Taarifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali kwa mwaka 2020/2021 pamoja na Taarifa ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU, katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Jijini Dodoma tarehe 30 Machi, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Taarifa ya Taasisi ya TAKUKURU kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi hiyo CP Salum Hamduni katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo tarehe 30 Machi, 2022.

No comments:

Post a Comment