MKURUGENZI MTENDAJI WA MFUKO WA NCHI ZINAZOZALISHA MAFUTA KWA WINGI DUNIANI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Tuesday, 29 March 2022

MKURUGENZI MTENDAJI WA MFUKO WA NCHI ZINAZOZALISHA MAFUTA KWA WINGI DUNIANI

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Nchi zinazozalisha Mafuta kwa wingi Duniani (OPEC Fund) Dkt. Alkhalifa Abdulhamid Saleh, Ikulu Chamwino leo tarehe 29 Machi, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Tanzania nchini Austria Mhe. Celestine Mushy, Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo tarehe 29 Machi, 2022. Kwa mara ya kwanza Tanzania imefungua Ubalozi mpya katika nchi hiyo na Balozi Mushy anakuwa Balozi wa kwanza nchini Austria.

No comments:

Post a Comment