MHE. RAIS SAMIA AHUTUBIA KILELE CHA WIKI YA MAJI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Tuesday, 22 March 2022

MHE. RAIS SAMIA AHUTUBIA KILELE CHA WIKI YA MAJI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali katika kilele cha Wiki ya Maji iliyofanyika Mlimani City Jijini Dar es Salaam leo tarehe 22 Machi 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuzindua Taarifa ya mwaka ya Utendaji Kazi wa Mamlaka za maji na mazingira mijini kabla ya kuzungumza na viongozi mbalimbali katika maadhimisho ya kilele cha Wiki ya Maji iliyofanyika kwenye ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam.

Viongozi mbalimbali pamoja na Wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam waliohudhuria maadhimisho ya kilele cha Wiki ya Maji iliyofanyika katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam leo tarehe 22 Machi, 2022.

No comments:

Post a Comment