 |
| Mama Janeth Magufuli, mjane wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, akipokea Komunyo Takatifu toka kwa Askofu Mkuu Jimbo la Kuu Mwanza Askofu Renatus Leonard Nkwande aliyeongoza Misa Maalumu ya kumbukizi ya mwaka mmoja wa kifo cha Dkt. Magufuli Jumapili Machi 2022. |
Mama Janeth Magufuli, mjane wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, akiaga baada ya kuhudhuria Misa Maalumu ya kumbukizi ya mwaka mmoja wa kifo cha Dkt. Magufuli Jumapili Machi 2022.
 |
| Mama Janeth Magufuli, mjane wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, akipata picha ya pamoja na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza, Askofu Renatus Leonard Nkwande, viongozi mbalimbali na mapadre na watawa baada ya Misa Maalumu ya kumbukizi ya mwaka mmoja wa kifo cha Dkt. Magufuli Machi 2022. |
 |
| Mama Janeth Magufuli, mjane wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, akimshukuru Askofu Mkuu Jimbo la Kuu Mwanza Askofu Renatus Leonard Nkwande aliyeongoza Misa Maalumu ya kumbukizi ya mwaka mmoja wa kifo cha Dkt. Magufuli leo Jumapili Machi 2022. |
 |
| Mama Janeth Magufuli, mjane wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, akitoa sadaka katika kanisa la Kawekamo jijini Mwanza alipohudhuria Misa Maalumu ya kumbukizi ya mwaka mmoja wa kifo cha mumewe Machi 2022. |
 |
| Mama Janeth Magufuli, mjane wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, akiwasili katika kanisa la Kawekamo jijini Mwanza kuhudhuria Misa Maalumu ya kumbukizi ya mwaka mmoja wa kifo cha mumewe Machi 2022. |
No comments:
Post a Comment