WIZARA YA NISHATI YAPATA NEEMA KUPITIA DUBAI EXPO - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Monday, 28 February 2022

WIZARA YA NISHATI YAPATA NEEMA KUPITIA DUBAI EXPO

 


Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza na wafanyabiashara na wawekezaji kutoka Tanzania na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) katika Kongamano la Biashara na Uwekezaji lililofanyika jana Dubai, UAE.

Waziri wa Nishati Mhe. Januari Makamba akishuhudia uwekaji wa sahihi ya makubaliano baina ya UAE na Jamhuri ya Muungano ya Tanzania ambapo Naibu Katibu Mkuu Ndg Kheri Mahimbali akisaini makubaliano ya ujenzi wa Fuel Terminal kwa niaba ya JMT ambao ujenzi huo utasaidia katika uhifadhi wa mafuta na pia itatatua tatizo la mfumuko wa bei ya mafuta ya Petrol na Diesel.

No comments:

Post a Comment