RAIS SAMIA HASSAN AWASILI NCHINI BAADA YA KUHITIMISHA ZIARA YAKE KATIKA UMOJA WA FALME ZA KIARABU (UAE) - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Monday, 28 February 2022

RAIS SAMIA HASSAN AWASILI NCHINI BAADA YA KUHITIMISHA ZIARA YAKE KATIKA UMOJA WA FALME ZA KIARABU (UAE)

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Jijini Dar es Salaam wakati akitokea Umoja wa Falme za Kiarabu UAE leo tarehe 28 Februari, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Jijini Dar es Salaam wakati akitokea Umoja wa Falme za Kiarabu UAE leo tarehe 28 Februari, 2022.

No comments:

Post a Comment