RAIS SAMIA HASSAN APOKEA AWAMU YA KWANZA YA TAARIFA YA MPANGO WA MAENDELEO YA UVIKO 19 - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Tuesday 4 January 2022

RAIS SAMIA HASSAN APOKEA AWAMU YA KWANZA YA TAARIFA YA MPANGO WA MAENDELEO YA UVIKO 19

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza katika hafla ya kupokea Taarifa ya  Mpango wa awamu ya kwanza wa Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano Dhidi ya Uviko 19 Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 04 Januari 2022. PICHA NA IKULU.

Hafla ya kupokea Taarifa ya  Mpango wa awamu ya kwanza wa Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano Dhidi ya Uviko 19 Ikulu Jijini Dar es Salaam ikiendelea leo tarehe 04 Januari 2022. PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment