RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN, AFANYA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU MOJA NCHINI MSUMBIJI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Friday, 28 January 2022

RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN, AFANYA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU MOJA NCHINI MSUMBIJI

 

Rais Philipe Nyusi wa Msumbiji akimtambulisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa Viongozi mbalimbali wa Serikali ya Msumbiji alipowasili  katika Uwanja wa ndege wa Pemba nchini Msumbiji kwa ajili ya ziara  ya kikazi ya siku moja Nchini humo leo tarehe 28 Januari 2022 Nchini humo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Rais Philipe Nyusi wa Msumbiji alipowasili katika uwanja wa ndege wa Pemba nchini Msumbiji kwa ajili ya ziara  ya kikazi ya siku moja Nchini humo leo tarehe 28 Januari 2022 Nchini humo.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na  Vyombo mbalimbali vya Habari Nchini Msumbiji kufuatia ziara yake ya kikazi ya siku moja nchini humo leo tarehe 28 Januari 2022. Kulia ni Rais Philipe Nyusi wa Msumbiji.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa na Mwenyeji wake Rais Philipe Nyusi wa Msumbiji alipowasili  katika uwanja wa ndege wa Pemba nchini Msumbiji kwa ajili ya ziara  ya kikazi ya siku moja Nchini humo leo tarehe 28 Januari 2022 Nchini humo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiangalia Kikundi cha ngoma ya asili ya Msumbiji alipowasili  katika uwanja wa ndege wa Pemba nchini Msumbiji kwa ajili ya ziara  ya kikazi ya siku moja Nchini humo leo tarehe 28 Januari 2022 Nchini humo.

No comments:

Post a Comment