ZIARA YA RAIS KENYATTA TANZANIA, AZUNGUMZA NA WANAHABARI…! - THE HABARII

THE HABARII

HABARI | MATUKIO | MICHEZO.

ASAS GROUP

Habari Mpya

Friday, 10 December 2021

ZIARA YA RAIS KENYATTA TANZANIA, AZUNGUMZA NA WANAHABARI…!

Rais wa Kenya Mheshimiwa Uhuru Kenyatta akizungumza katika Mkutano na Waandishi wa Habari kuhusu mafanikio mbalimbali yaliyopatikana katika ziara yake ya siku mbili nchini Tanzania. PICHA NA IKULU.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza Ujumbe wa Tanzania katika mazungumzo Rasmi na Ujumbe wa Kenya ulioongozwa na Rais wa Kenya Mheshimiwa Uhuru Kenyatta Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 10 Desemba, 2021.

No comments:

Post a Comment