RAIS SAMIA ASHIRIKI MKUTANO MAALUM WA 18 WA WAKUU WA NCHI WANACHAMA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI (EAC) - THE HABARII

THE HABARII

HABARI | MATUKIO | MICHEZO.

ASAS GROUP

Habari Mpya

Thursday, 23 December 2021

RAIS SAMIA ASHIRIKI MKUTANO MAALUM WA 18 WA WAKUU WA NCHI WANACHAMA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI (EAC)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akishiriki Mkutano Maluum wa 18 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) uliofanyika kwa njia ya mtandao leo tarehe 22 Desemba, 2021,  Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Mkutano Maluum wa 18 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) uliofanyika kwa njia ya mtandao tarehe 22 Desemba, 2021,  Ikulu Jijini Dar es Salaam ukiendelea.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akishiriki Mkutano Maluum wa 18 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) uliofanyika kwa njia ya mtandao leo tarehe 22 Desemba, 2021,  Ikulu Jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment