MHE. RAIS SAMIA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA YA UCHIMBAJI MADINI NCHINI - THE HABARII

THE HABARII

HABARI | MATUKIO | MICHEZO.

ASAS GROUP

Habari Mpya

Tuesday, 14 December 2021

MHE. RAIS SAMIA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA YA UCHIMBAJI MADINI NCHINI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza kwenye hafla ya utiaji Saini makubaliano kati ya Serikali na Kampuni 4 za Uchimbaji wa Madini za Black Rock Mining Limited, Strandline Resources Limited na Nyanzaga katika hafla iliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Convention Centre Jijini Dar es Salaam leo tarehe 13 Desemba 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akishuhudia tukio la Utiaji Saini makubaliano kati ya Serikali na Kampuni za Uchimbaji Madini za Black Rock Mining Limited, Strandline Resources Limited na Nyanzaga katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Convention Centre Jijini Dar es Salaam leo tarehe 13 Desemba 2021.

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan (hayupo pichani), ahutubia katika hafla ya uwekaji saini Makubaliano kati ya Serikali na Kampuni 4 za Uchimbaji Madini nchini, iliyofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Convention Centre Jijini Dar es Salaam leo tarehe 13 Desemba 2021.

No comments:

Post a Comment