MHE. RAIS SAMIA AMTUNUKU TUZO YA UTATUZI WA MIGOGORO, DEMOKRASIA NA HAKI ZA BINAADAM DKT. SALIM AHMED SALIM - THE HABARII

THE HABARII

HABARI | MATUKIO | MICHEZO.


ASAS GROUP

Habari Mpya


Tuesday, 7 December 2021

MHE. RAIS SAMIA AMTUNUKU TUZO YA UTATUZI WA MIGOGORO, DEMOKRASIA NA HAKI ZA BINAADAM DKT. SALIM AHMED SALIM

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kukabidhi Tuzo ya Heshima ya Utatuzi wa Migogoro, Demokrasia na Haki za Binadamu kwa Waziri Mkuu Mstaafu Dkt. Salim Ahmed Salim aliyotunukiwa na Taasisi ya Kemet Butros Ghali ya nchini Misri leo tarehe 06 Desemba, 2021 nyumbani kwake Masaki Jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikabidhi Tuzo ya Heshima ya Utatuzi wa Migogoro, Demokrasia na Haki za Binadamu kwa Waziri Mkuu Mstaafu Dkt. Salim Ahmed Salim aliyotunukiwa na Taasisi ya Kemet Butros Ghali ya nchini Misri leo tarehe 06 Desemba, 2021 nyumbani kwake Masaki Jijini Dar es Salaam. Anaepokea Tuzo hiyo kwa niaba yake ni mtoto wa Dkt. Salim, Ahmed Salim Ahmed.

No comments:

Post a Comment