MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA UHURU WA TANZANIA BARA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Thursday, 9 December 2021

MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA UHURU WA TANZANIA BARA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na kuwapongeza Watanzania kwa kutimiza  miaka 60 ya  Uhuru wa Tanzania Bara, katika Maadhimisho  yaliyofanyika leo tarehe 09 Desemba 2021 katika Uwanja wa Uhuru  Jijini Dar es Salaam.

Vikosi mbalimbali vya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania JWTZ vikionesha kazi mbalimbali wanazozifanya kutimiza majukumu yao kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Samia Suluhu Hassan katika Maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara katika Sherehe zilizofanyika kwenye uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam leo tarehe 9 Desemba, 2021.

JWTZ wakionesha baadhi ya zana mbalimbali za Kivita pamoja na kazi mbalimbali wanazofanya katika Maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara leo tarehe 9 Desemba, 2021.

Moja ya Askari wa Kikosi Maalumu kutoka Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) akipita mbele ya Jukwaa kuu katika Maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara katika Sherehe zilizofanyika katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam leo tarehe 9 Desemba, 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza kuwatambulisha viongozi wakuu wa nchi waliohudhuria kwenye Maadhimisho ya kutimia miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara yaliyofanyika leo tarehe 09 Desemba 2021 katika Uwanja wa Uhuru  Jijini Dar es Salaam.

JWTZ wakionesha baadhi ya zana mbalimbali za Kivita pamoja na kazi mbalimbali wanazofanya katika Maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara leo tarehe 9 Desemba, 2021.

JWTZ wakionesha baadhi ya zana mbalimbali za Kivita pamoja na kazi mbalimbali wanazofanya katika Maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara leo tarehe 9 Desemba, 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikagua Gwaride la Vikosi vya Ulinzi na Usalama kwenye Maadhimisho ya kutimia miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara yaliyofanyika leo tarehe 09 Desemba 2021 katika Uwanja wa Uhuru  Jijini Dar es Salaam.

Ndege Vita zikipita pembezoni mwa uwanja wa Uhuru katika Maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara leo tarehe 9 Desemba, 2021. PICHA NA IKULU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na viongozi mbalimbali kwenye Sherehe za miaka 60 ya  Uhuru wa Tanzania Bara, katika Maadhimisho  yaliyofanyika leo tarehe 09 Desemba 2021 katika Uwanja wa Uhuru  Jijini Dar es Salaam.

Vikosi mbalimbali vya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania JWTZ vikipita Kikakamavu mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Samia Suluhu Hassan katika Maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara katika Sherehe zilizofanyika kwenye uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam leo tarehe 9 Desemba, 2021.

Moja ya Askari wa Kikosi Maalumu kutoka Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) akipita mbele ya Jukwaa kuu katika Maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara katika Sherehe zilizofanyika katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam leo tarehe 9 Desemba, 2021.

Ndege Vita zikipita pembezoni mwa uwanja wa Uhuru katika Maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara leo tarehe 9 Desemba, 2021. PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment