WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA UJENZI WA CHUO CHA VETA , CHUNYA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Monday 29 November 2021

WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA UJENZI WA CHUO CHA VETA , CHUNYA

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Tekinolojia, Omari Kipanga (katikati) na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya VETA,  Peter Maduki baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) wilaya ya Chunya, Novemba 29, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa VETA, Pancras Bujulo (wa pili kulia) kuhusu ujenzi wa Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) wilaya ya Chunya baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi  wa Chuo hicho, Novemba 29, 2021. Kushoto ni Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Tekinolojia, Omari  Kipanga na kulia ni Mkuu wa Chuo cha VETA cha Mpanda, Joshua Mategane. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa Chuo cha Ufundi Stadi cha wilaya ya  Chunya, Novemba 29, 2021. Kulia. ni Naibu Waziri wa Elimu , Sayansi na Tekinolojia, Omari Kipanga na kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa VETA, Pancras Bujulo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment