MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA UJUMBE KUTOKA SHIRIKA LA MAENDELEO LA KIMATAIFA LA USWIS - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Friday, 26 November 2021

MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA UJUMBE KUTOKA SHIRIKA LA MAENDELEO LA KIMATAIFA LA USWIS

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Ujumbe kutoka Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Uswisi ulioongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo Bi. Patricia Danzi, wakati ujumbe huo ulipofika Jijini Dodoma leo tarehe 26 Novemba, 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam akitokea mkoani Dodoma  leo tarehe 26 Novemba, 2021.

No comments:

Post a Comment