FURSA YA KUSAFIRISHA PARACHICHI KWENDA INDIA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Tuesday 30 November 2021

FURSA YA KUSAFIRISHA PARACHICHI KWENDA INDIA

Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Kilimo Prof. Siza Tumbo(wa katikati upande wa kulia)leo ameongoza timu ya wizara katika mazungumzo ya awali kuhusu rasimu ya makubaliano(MoU) kati ya Tanzania na India kuhusu fursa ya kuuza mazao ya jamii ya mikunde kama vile mbaazi kwenye soko la India.

Ujumbe kutoka India uliongozwa na Bw. Anupam Mishra Joint Secretary, Department of Consumer Affairs, na Bw. Sunil Kumar Singh, Additional Managing Director, National Agricultural Cooperative Marketing Federation of India Ltd.(NAFED), Ministry of Consumer Affairs, Food and Public Distribution. Mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa mikutano, ofisi ndogo za wizara ya kilimo, kilimo4, jijini Dodoma, leo tarehe 29 Novemba, 2021.

 

Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Kilimo Prof. Siza Tumbo(wa katikati upande wa kulia)leo ameongoza timu ya wizara katika mazungumzo ya awali kuhusu rasimu ya makubaliano(MoU) kati ya Tanzania na India kuhusu fursa ya kuuza mazao ya jamii ya mikunde kama vile mbaazi kwenye soko la India. Ujumbe kutoka India uliongozwa na Bw. Anupam Mishra Joint Secretary, Department of Consumer Affairs, na Bw. Sunil Kumar Singh, Additional Managing Director, National Agricultural Cooperative Marketing Federation of India Ltd.(NAFED), Ministry of Consumer Affairs, Food and Public Distribution. Mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa mikutano, ofisi ndogo za wizara ya kilimo, kilimo4, jijini Dodoma, leo tarehe 29 Novemba, 2021.


No comments:

Post a Comment