WAZIRI WA ULINZI, ELIAS KUANDIKWA AFARIKI DUNIA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Tuesday 3 August 2021

WAZIRI WA ULINZI, ELIAS KUANDIKWA AFARIKI DUNIA


WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Elias Kuandikwa amefariki dunia jijini Dar es Salaam. Taarifa zilizotufikia zinaeleza kuwa Mhe. Elias Kuandikwa amefariki dunia jijini Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa matibabu. Elias John Kwandikwa ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha Mapinduzi, CCM. Alichaguliwa kuwa mbunge wa Jimbo la Ushetu mwaka 2015 – 2020 ambapo umauti umempata; Kiongozi huyo aliyezaliwa  Julai Mosi, 1966 ambaye ameshika nafasi mbalimbali serikalini hadi alipoteuliwa kuwa Waziri wa Ulinzi.

No comments:

Post a Comment