MH. SAMIA SULUHU AENDELEA KUMNADI JPM MKOANI SONGWE - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Tuesday, 13 October 2020

MH. SAMIA SULUHU AENDELEA KUMNADI JPM MKOANI SONGWE

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa kijiji cha Itaka Mbozi  alipokuwa njiani akielekea Mlowo Mbozi Mkoani Songwe kwa ajili ya kuhutubia mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM Oktoba 13,2020.   

 

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikabidhi Kitabu cha Ilani ya Utekelezaji wa Uchaguzi ya CCM 2020/25 kwa Mbunge mteule wa Jimbo la  Mbozi   Mhe. Geporge Ranwell Mwenisongole kwa ajili ya kuinadi kwenye mikutano ya kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM, katika mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM uliofanyika Octoba 13,2020 katika Viwanja vya Vwawa Mbozi Mkoani Songwe.

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Watoto Catherine Enoc (10) na Gerald Mwaliwa (11) wakazi wa Vwawa Mbozi alipokutana nao baada ya kuhutubia mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika Uwanja wa Vwawa Mbozi  Mkoani Songwe Oktoba 13,2020.  

Add caption

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikabidhi Kitabu cha Ilani ya Utekelezaji wa Uchaguzi ya CCM 2020/25 kwa Mbunge mteule wa Jimbo la  Tunduma  Mhe. David Silinde kwa ajili ya kuinadi kwenye mikutano ya kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM.



No comments:

Post a Comment