MGOMBEA URAIS WA CCM RAIS DK. MAGUFULI AUNGURUMA MBELE YA MAELFU MJINI BAGAMOYO, HANDENI - THE HABARII

THE HABARII

HABARI | MATUKIO | MICHEZO.

ASAS GROUP

Habari Mpya

Tuesday, 20 October 2020

MGOMBEA URAIS WA CCM RAIS DK. MAGUFULI AUNGURUMA MBELE YA MAELFU MJINI BAGAMOYO, HANDENI

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Bagamoyo katika Mkutano wa Kampeni za CCM kwa upande wa Urais uliofanyika katika uwanja wa Mwanakelenge Bagamoyo mkoani Pwani leo tarehe 19 Oktoba 2020.

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili Bagamoyo mkoani Pwani kwa ajili ya kuwahutubia wananchi katika muendelezo wa Kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM leo tarehe 19 Oktoba 2020.

Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili kuhutubia mkutano wa hadhara wa kampeni mjini Bagamoyo mkoa wa Pwani leo Jumatatu Oktoba 19, 2020.

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Mkata Wilayani  Handeni mkoani Tanga mara baada ya kuwasili wakati akitokea mkoani Pwani katika mikutano ya Kampeni za CCM leo tarehe 19 Oktoba 2020.

Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipiga makofi wakati akisikiliza hotuba ya Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katika Mkutano wa Kampeni za CCM kwa upande wa Urais uliofanyika katika uwanja wa Mwanakelenge Bagamoyo mkoani Pwani leo tarehe 19 Oktoba 2020.

Shehe Mkuu wa Mkoa wa Pwani Sheikh Khamis Mtopa  akiomba dua kabnla Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuhutubia mkutano wa hadhara wa kiampeni mjini Bagamoyo mkoa wa Pwani leo Jumatatu Oktoba 19, 2020.

No comments:

Post a Comment