MGOMBEA URAIS WA CCM RAIS DK MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WILAYA YA TEMEKE DAR - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Friday, 9 October 2020

MGOMBEA URAIS WA CCM RAIS DK MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WILAYA YA TEMEKE DAR

Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni mwenyekiti wa Chama hicho Tawala Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na maelfu ya wananchi wa wilaya ya Temeke wakati wa mkutano wake wa kampeni katika Uwanja wa Benjamin
Mkapa jijini Dar es salaam Ijumaa Oktoba 9, 2020.

Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni mwenyekiti wa Chama hicho Tawala Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiaga baada ya mkutano na maelfu ya wananchi wa Temeke katika mkutano wake wa kampeni katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam Ijumaa Oktoba 9, 2020.

No comments:

Post a Comment