MGOMBEA URAIS WA CCM DK MAGUFULI AWAAHIDI NEEMA KIBAO MAELFU YA WANANCHI WA UBUNGO NA KIBAMBA...! - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Tuesday, 13 October 2020

MGOMBEA URAIS WA CCM DK MAGUFULI AWAAHIDI NEEMA KIBAO MAELFU YA WANANCHI WA UBUNGO NA KIBAMBA...!

Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akihutubia maelfu ya wananchi wa majimbo ya Kibamba na Ubungo Uwanja wa Barafu wa Mburahati katika mkutano wake wa tatu wa kampeni mkoani Dar es salaam Oktoba 13, 2020.

Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akihutubia maelfu ya wananchi wa majimbo ya Kibamba na Ubungo Uwanja wa Barafu wa Mburahati katika mkutano wake wa tatu wa kampeni mkoani Dar es salaam Oktoba 13, 2020.

Mgombea UIrais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwasili katika Uwanja wa Barafu wa Mburahati tayari kuhutubia maelfu ya wananchi wa majimbo ya Kibamba na Ubungo katika mkutano wake wa tatu wa kampeni mkoani Dar es salaam Oktoba 13, 2020.

Mgombea UIrais wa Chama Cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwanadi wagombea udiwani mbele ya maelfu ya wananchi wa majimbo ya Kibamba na Ubungo Uwanja wa Barafu wa Mburahati katika mkutano wake wa tatu wa kampeni mkoani Dar es salaam Oktoba 13, 2020.

Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akihutubia maelfu ya wananchi wa majimbo ya Kibamba na Ubungo Uwanja wa Barafu wa Mburahati katika mkutano wake wa tatu wa kampeni mkoani Dar es salaam Oktoba 13, 2020.

Mgombea UIrais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwasili katika Uwanja wa Barafu wa Mburahati tayari kuhutubia maelfu ya wananchi wa majimbo ya Kibamba na Ubungo katika mkutano wake wa tatu wa kampeni mkoani Dar es salaam Oktoba 13, 2020.

Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akihutubia maelfu ya wananchi wa majimbo ya Kibamba na Ubungo Uwanja wa Barafu wa Mburahati katika mkutano wake wa tatu wa kampeni mkoani Dar es salaam Oktoba 13, 2020.

Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwanadi wagombea ubunge wa Ubungo Profesa Kitila Mkumbo na Issa Mtemvu wa Kibamba mbele ya maelfu ya wananchi wa majimbo ya Kibamba na Ubungo Uwanja wa Barafu wa Mburahati katika mkutano wake wa tatu wa kampeni mkoani Dar es salaam Oktoba 13, 2020.

Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akihutubia maelfu ya wananchi wa majimbo ya Kibamba na Ubungo Uwanja wa Barafu wa Mburahati katika mkutano wake wa tatu wa kampeni mkoani Dar es salaam Oktoba 13, 2020.

No comments:

Post a Comment