Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika Uwanja wa Haydom Mkoani Manyara Septemba 30,2020.
Umati wa Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Wialaya ya Mbulu Mjini wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akiwahutubia mkutano wa Kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika Uwanja wa Mpira wa Mbulu Mjini Mkoani Manyara leo Septemba 29,2020.

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana Viongozi Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Haydom Mbulu Vijijini Mkoani Manyara alipowasili katika uwanja wa Haydom kwa ajili ya kuhutubia mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM Septemba 30,2020.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mtoto Jaclin Joakim (5) Mwanafunzi wa Chekechea KG 1 Compasicion Ansaly Mbulu na msanii wa kikundi cha Kwaya ya Compasicion Ansaly Mbulu baada ya kutumbuiza kwenye mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika uwanja wa Mbulu Mjini Mkoani Manyara leo Septemba 29,2020. kulia ni Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Fredrik Sumaye.

No comments:
Post a Comment