Bi. Samia Hassan Suluhu. |
MGOMBEA wa nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Pombe Magufuli amemteuwa Bi. Samia Hassan Suluhu kuwa mgombea mwenza katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, 2020 utakao fanyika mwezi Oktoba hapo baadaye.
Dk. John Pombe Magufuli amemteuwa Bi. Samia mara baada ya yeye pia kuchaguliwa na wajumbe wa mkutano mkuu wa uchaguzi wa CCM. Dk. Magufuli amechaguliwa baada ya kupata kura 1,822 kati ya kura zote 1822 za wajumbe wa mkutano huo.
No comments:
Post a Comment