VIRUSI VYA CORONA: WALIOAMBUKIZWA TANZANIA WAFIKIA 254 - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Monday, 20 April 2020

VIRUSI VYA CORONA: WALIOAMBUKIZWA TANZANIA WAFIKIA 254



WIZARA ya afya nchini Tanzania imethibitisha kuwa watu 84 wapya wameambukizwa virusi vya corona na kufikisha idadi ya wagonjwa wa Covid-19 kufikia 254.

No comments:

Post a Comment