BENKI YA NMB YAAZIMIA KUCHANGIA UPATIKANAJI WA USAWA WA KIJINSIA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Sunday 8 March 2020

BENKI YA NMB YAAZIMIA KUCHANGIA UPATIKANAJI WA USAWA WA KIJINSIA

Kaimu Mkurugenzi wa Benki ya NMB – Ruth Zaipuna akizungumza kwenye maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani 2020 yaliyofanyika kitaifa Mkoa wa Simiyu leo.
BENKI ya NMB yaunga mkono kauli mbiu ya Siku ya Wanawake Duniani #EachForEqual*, ambayo inaangazia Usawa kwa Wote.Kwa pamoja wameazimia  kuchangia upatikanaji wa Usawa wa Kijinsia duniani na tayari wameanza kufanya hivyo.

Kheriedi ya Siku ya Wanawake Duniani!
#NeMBBankKaribuYako
#IWD2020#EachForEqual

Bendi ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT-Dodoma) ikiongoza Maandamano ya Siku ya Wanawake Duniani 2020 yaliyofanyika kitaifa Mkoa wa Simiyu leo.

Makundi mbalimbali ya wanawake na taasisi wakipita mbele ya Mgeni rasmi, Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu (hayuko pichani) kwenye Maandamano ya Siku ya Wanawake Duniani 2020 yaliyofanyika kitaifa Mkoa wa Simiyu leo.

No comments:

Post a Comment