MATUKIO PICHA : RAIS DKT MAGUFULI NA MKEWE MAMA JANETH MAGUFULI WASHIRIKI IBADA YA JUMATANO YA MAJIVU KATIKA KANISA LA MTAKATIFU PETRO JIJINI DAR ES SALAAM - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Wednesday, 26 February 2020

MATUKIO PICHA : RAIS DKT MAGUFULI NA MKEWE MAMA JANETH MAGUFULI WASHIRIKI IBADA YA JUMATANO YA MAJIVU KATIKA KANISA LA MTAKATIFU PETRO JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipakwa majivu na Paroko wa Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay Padre Dkt. Alister Makubi  wakati wa Ibada ya Jumatano ya Majivu jijini Dar es salaam leo Februari 26, 2020

Mama Janeth Magufuli, Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipakwa majivu na Paroko wa Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay Padre Dkt. Alister Makubi  wakati wa Ibada ya Jumatano ya Majivu jijini Dar es salaam leo Februari 26, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, akiongozana na mkewe Mama Janeth Magufuli, akipakwa majivu na Paroko wa Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay Padre Dkt. Alister Makubi  waliposhiriki  Ibada ya Jumatano ya Majivu jijini Dar es salaam leo Februari 26, 2020

No comments:

Post a Comment