MATUKIO PICHA : MAJALIWA AONGOZA KIKAO CHA KUJADILI MAENDELEO YA MICHEZO NCHINI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Tuesday, 25 February 2020

MATUKIO PICHA : MAJALIWA AONGOZA KIKAO CHA KUJADILI MAENDELEO YA MICHEZO NCHINI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza   na Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia kwake ) na viongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) katika kikao cha kujadili maendeleo ya michezo nchini kilichofanyika kwenye makazi ya Waziri Mkuu, Oysterbay jijini  Dar es salaam, Februari 25, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment